Alhamisi , 3rd Sep , 2015

Nuh Mziwanda, ametoa dongo la wazi kwa wasanii ambao wanaficha misimamo yo kisiasa, akifananishe kitendo hicho na ulimbukeni, akisema ni vyema kwa msanii anayejielewa kujua yupo upande gani na kuweka wazi msimamo huo.

Nuh amekazia kuwa, Msanii akiwa kama kioo cha jamii anatakiwa kuwa mfano ambao unatazama kwa wengi na haya ndiyo maelezo yake.