Alhamisi , 21st Sep , 2023

Msanii Feza Kessy amewaambia mashabiki zake kuwa hayupo sawa moyoni mwake japo machoni anaonekana mwenye furaha.

Picha ya msanii Feza Kessy

Feza Kessy amepost video page yake ya Instagram ukiwa na ujumbe huu unaoleza hali yake kwa sasa unaosema 

"Hapo naonekana kama nina furaha eh? kumbe moyoni sipo sawa . Point ni kwamba tujaribu kuwa kind jamani, huwezi kujua mtu anapitia nini. Tujaribu kuwa na utu pia kuwa mkarimu kwako mwenyewe  maana siku hazifanani. Upendo na mwanga".

#Muziki #BongoFleva #FezaKessy