Jumamosi , 16th Jul , 2022

Faustina Mfinanga maarufu kama Nandy The African Princess amemwaga machozi wakati anakula kiapo cha maisha katika Kanisa la Lutheran Mbezi Beach akifunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi William Nicholaus (Billnass).

Nandy akiwa anakula kiapo kanisani

Wawili hao sasa ni halali kama mume na mke wa ndoa baada ya kuwa na uhusiano kwa muda mrefu.

Zaidi tazama hapa kwenye video.