Ijumaa , 6th Jan , 2023

CEO wa Konde Music Worldwide Harmonize amejibu kinachoendelea kati yake na mrembo Feza Kessy ambao wame-make headlines mitandaoni baada ya kushea picha zao wakiwa pamoja beach.

Picha ya Harmonize na Feza Kessy

Harmonize ameeleza kuwa watu wanavyosema wanapendezana kuwa kwenye mahusiano wanamchanganya ingawa wao wenyewe wanaona.

Zaidi tazama hapa kwenye video kusikia Harmonize alivyofunguka kuhusiana na hilo.