Maneno ya Dully akitaja sifa za mastaa hawa

Jumatano , 15th Sep , 2021

Legend wa BongoFlava Dully Sykes ametaja sifa anazozifahamu kutoka kwa mastaa wenzake ambao ni watu wake wa karibu kama Ommy Dimpoz, Diamond Platnumz, Alikiba na Harmonize.

Picha ya msanii Dully Sykes

Sifa za mastaa wengine aliowazungumzia ni TID, Chidi Benz, Q Chief, Abby Skills, Maua Sama, Nandy na Bob Junior.

Zaidi tazama hapo chini akiwazungumzia mastaa hao.