Kanja
Kanja amekuwa ni rapa aliyeweza kujijengea jina lake baada ya kufanya projects zake kadhaa na wasanii STL, Camp Mulla na rapa maarufu wa nchini Ghana Manifest.
Hivi sasa Kanja anafanya maandalizi hayo makubwa kwani anaamini track ya nyota huyo itakuwa ni moto wa kuotea mbali.