Jumapili , 8th Jan , 2023

Staa wa filamu nchini Kajala Masanja amemfanyia surprise binti yake Paulah kwa kumnunulia gari mpya aina ya Crown jambo lililomfanya mwanaye huyo kutokwa machozi ya furaha.

Picha ya Kajala na Paulah

Zaidi tazama hapa tukio zima la Kajala alivyomsurprise Paulah kwa kumpa ndinga mpya.