Jumatano , 21st Oct , 2015

Mrembo, Mjasiriamali na nyota wa muziki Jokate wa Tanzania, ameeleza juu ya mpango wake wa kutengeneza kikundi cha muziki ambacho atakuwa akifanya nacho kazi katika project ambazo ataanza kuziachia siku za usoni.

Mrembo, Mjasiriamali na nyota wa muziki Jokate wa Tanzania

Jokate ameeleza kuwa, chanzo cha ukimya wake wa muda, ni kutokana na kuwekeza nguvu katika kukitengeneza kikundi hicho, akiwa anajipanga kuja vizuri siku za usoni kama ambavyo anaeleza hapa.