Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

"Inaniuma kuitwa mbeba pochi wa Wema" - Petitman

Jumanne , 15th Sep , 2020

Meneja na mjasiriamali Petitman Wakuache amefunguka kuwa alikuwa anaumizwa na maneno ya watu mitandaoni kiasi kwamba kufikia hatua ya kuchanganyikwa kwa watu kumuita mbeba pochi wa Madam Wema Sepetu.

Petitman Wakuache na Wema Sepetu

Akizungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio, Petitman Wakuache amesema urafiki wake na Wema Sepetu umedumu kwa miaka 15, hivyo kwa sasa hata watu wakimtukana watakuwa wanajisumbua bure kwani hakuna tusi jipya.

"Zamani nikitukanwa mitandaoni ilikuwa inaniuma sana hadi nachanganyikiwa siku nzima kuanzia kuitwa mbeba pochi wa Madam Wema Sepetu lakini sasa hivi hata siumii kwa sababu hakuna tusi jipya" amesema Petitman Wakuache 

Aidha ameongeza kusema "Madam Wema Sepetu anapambana sana, inaweza kupita hata wiki 2 bila ya kuonana kwa sababu anarekodi filamu yake, urafiki wetu unaenda mwaka wa 15 sasa, upande wa mwili wake sioni kama ni tatizo ikiwa yeye mwenyewe anaufurahia na kuupenda".

HABARI ZAIDI

Bashiri Mohamed (35) Mwenye Koti Jeusi akiwa anafikishwa Mahakamani Ilemela, Jijini Mwanza

Aliyezini na binti yake apandishwa kizimbani

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea

Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

Wanahabari wasisitizwa kuzingatia maadili ya kazi

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC atangaza msako kuwaondoa walinzi wazee kazini