Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Harmonize amuonya Kajala "Kuwa makini"

Jumanne , 13th Apr , 2021

Msanii na Boss wa lebo ya Konde Gang Harmonize ametoa angalizo kwa aliyekuwa mpenzi wake staa wa filamu Kajala Masanja kwa kumwambia awe makini na watu wanaomzunguka kipindi cha matatizo kwa sababu watamletea matatizo baadae

Picha ya pamoja Harmonize na Kajala

Harmonize ametoa ujumbe huo kwenda kwa Kajala kwa njia ya maandishi kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram ambapo ameeleza kuwa 

"Kuwa makini na watu wanaokufuata kipindi una matatizo na mtu fulani wengine walijibanza wakisubiri inyeshe, mchawi harogi bila sababu kwa sasa huwezi kuona kundi hilo la watu ila ukitizama nyuso zao na maneno ya kashfa, ukiwa timamu utanielewa Mungu akusimamie life time partner".

Pia tayari msanii Harmonize ameachia wimbo mpya ambao unamlenga mpenzi wake huyo wa zamani juu ya kuachana kwao huku amemuomba isiwe vita na waachane kwa amani.

Zaidi tazama hapa chini kwenye video.

HABARI ZAIDI

Bashiri Mohamed (35) Mwenye Koti Jeusi akiwa anafikishwa Mahakamani Ilemela, Jijini Mwanza

Aliyezini na binti yake apandishwa kizimbani

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea

Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

Wanahabari wasisitizwa kuzingatia maadili ya kazi

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC atangaza msako kuwaondoa walinzi wazee kazini