Picha ya Dulla Makabila
Makabila amesema kazi yake kubwa ni kushindana kwa sababu wasanii wengi wa mziki wa singeli wanaingia ili kumshambulia.
"Mimi kazi yangu kushindana nao tu kwa sababu kila anayekuja ananishambulia, namsukumizia misumari anashindwa kujibu mapigo anapotea, ndio mziki ulivyo" amesema Dulla Makabila