Jumamosi , 16th Jul , 2022

Msanii William Nicholaus Lyimo "Billnass" na Faustina Mfinanga "Nandy" ni rasmi sasa wamekuwa Mume na Mke baada ya kufunga ndoa siku ya leo katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Usharika wa Mbezi Beach, Dar es salaam leo.

Picha ya Billnass na Nandy

Zaidi tazama hapa kwenye video Nandy na Billnass wakiwa wanaingia kanisani kukamilisha kufunga ndoa.