Kushoto ni Kajala na mtoto wake Paula, kulia ni Amber Lulu
"Kiukweli siamini japo vitu vingi vinatokea,yaani kwa mfano mimi na Arianna tukakae kwenye pozi lile ni kitu ambacho hakitawezekana, kwa sababu mama yako akikuvulia nguo tu unapata radhi ije kuwa vile kweli? , mtoto akipata tatizo anaeyeumia zaidi ni mama kuliko mtoto" ameeleza Amber Lulu
Wiki iliyopita ili-trend picha isiyokuwa na maadili ambapo ilisemekana ni Kajala na mtoto wake Paula lakini baadaye Kajala mwenyewe alikanusha tuhuma hizo kwa kusema sio yeye bali watu wame-edit picha hiyo kwa lengo la kumchafua.
Zaidi tazama hapa chini kwenye video.