Alhamisi , 2nd Apr , 2015

Msanii wa miondoko ya Bongofleva Chin Bees ambaye wimbo wake wa 'Let Me Know' aliowashirikisha mastaa wa kundi la Navy Kenzo, hii leo ameutambulisha wimbo huo kwa mara ya kwanza hapa EATV na EA Radio

wasanii wa miondoko ya bongofleva Chin Bees na G Nako

Katika wimbo huo alioupatia jina 'Pakaza' ambao umepokelewa vyema na mashabiki, ni moja ya traki mpya aliomshirikisha rapa Gnako kutoka kundi la Weusi.

Hii ni moja ya kazi mpya iliyosukwa chini ya mtayarishaji Nareel huku mixing na mastering zikiwa zimefanywa na mkali Chizan Brain.