Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

BASATA yatoa hukumu kwa Lady Jaydee

Jumatano , 21st Oct , 2020

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) wametoa maamuzi ya kuufungia wimbo wa 'one time' ya Komando Lady Jaydee kwa kosa la kuhamasisha vitu visivyokuwa na maadili na nchi ya Tanzania.

Msanii wa BongoFleva Lady Jaydee

Akizungumzia taarifa hiyo kupitia EATV & EA Radio Digital, Meneja wa msanii huyo Mx Carter amesema kuwa siku ya leo wamepokea barua rasmi ya kufungiwa kwa wimbo huo kwenye vituo vya Radio, TV na mitandaoni. 

"Tuliitwa kwa sababu kuna vitu wao kama BASATA waliona havijakaa sawa, tukaitikia wito kwa Lady Jaydee kwenda ili kuzungumza nao, na leo tukapokea barua rasmi ya kuamua kuufungia na hautoruhusiwa kupigwa kwenye vituo vya Radio TV na kwenye mitandao kama wa YouTube" ameeleza MX Carter

"Kuna mstari ambao nisingependa kuutaja ila wanasema unahamasisha vitu ambavyo sio maadili ya kitanzania, ila kwa sisi tulivyoona haukuwa unahamasisha kwa sababu ni vitu ambavyo vipo na vitu vya kawaida" ameongeza 
 

HABARI ZAIDI

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko

Serikali yaipongeza Red Cross

Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa

Aonya wanaochangia watumishi kutopanda madaraja

Edgar Lungu, Rais wa Zamani Nchini Zambia Akitembea Kuzunguka Mji Mkuu wa Lusaka

Rais wa zamani Zambia Bw. Lungu hatarini kukamatwa

Mkuu wa Ulinzi Ukraine (Picha ya Website)

Zelensky amfukuza kazi mkuu wake wa ulinzi

Baadhi ya Wananchi wa Chindi na Ntinga wakiwa katika Harakati za Kuvuka Mto

Walazimika kulipa hadi 8000 kuvuka mto kwa mtumbwi