Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Rambirambi zawaponza wamiliki na Waandishi Arusha

Alhamisi , 18th Mei , 2017

Mmiliki wa Shule, Meya wa jiji la Arusha pamoja na waandishi wa habari 10 wamefikishwa kituo cha polisi (Central) kwa kufanya mkusanyiko bila kibali ndani ya shule ya Lucky Vicent.

Kutoka Arusha taarifa zinasema kuwa Mkuu wa upelelezi Wilaya ya Arusha (jina lake halijafahamika) amedai kuwa kosa ambalo wamelifanya waandishi pamoja Wamiliki ni kufanya mkusanyiko bila kibali ambao ni kinyume cha sheria.

Vyanzo vya habari vinadai kuwa chanzo cha kukamatwa ni baada Wamiliki wa shule binafsi kwenda shuleni Lucky Vicent kutoa michango ya Rambirambi shuleni Lucky Vicent

Habari zinasema kuwa kwa sasa Watu wote waliokamatwa tayari wamefikisha kituo cha kati kilichopo mjini Arusha (Central)
Waliokamatwa kwenye msafara huo wanatajwa ni wanahabari 10, Mmiliki wa shule ya Lucky Vicent na Meya Kalist Lazaro.

Waandishi waliokamatwa ni pamoja na  1 .Godfrey Thomas ayo tv 2.Alphonce kusaga Triple A 3.Filbert Rweyemamu mwananchi 4.Husein Tuta Itv 5.Joseph Ngilisho Sunrise radio 6.Geofrey Steven Radio 5 7.Janeth Mushi Mtanzania 8.Zephania Ubwani The Citizen 9.Elihuruma Yohani mwakilishi wa Tanzania Daima 10.Idd uwesu Azam Tv

 

HABARI ZAIDI

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko

Serikali yaipongeza Red Cross

Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa

Aonya wanaochangia watumishi kutopanda madaraja

Edgar Lungu, Rais wa Zamani Nchini Zambia Akitembea Kuzunguka Mji Mkuu wa Lusaka

Rais wa zamani Zambia Bw. Lungu hatarini kukamatwa

Mkuu wa Ulinzi Ukraine (Picha ya Website)

Zelensky amfukuza kazi mkuu wake wa ulinzi

Baadhi ya Wananchi wa Chindi na Ntinga wakiwa katika Harakati za Kuvuka Mto

Walazimika kulipa hadi 8000 kuvuka mto kwa mtumbwi

Mohamedi Mchengerwa, Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).

Wanaozuia watumishi kupanda vyeo wakaliwa kooni

Bujukano Mahungu John, Mwenyekiti wa Umoja wa Waganga na Wakunga wa Tiba Asili Tanzania

Waganga wa jadi waungana kukemea ukatili, Geita