Gari iliyoua watu sita
Ajali hiyo imetokea jana Juni 25, 2022, majira ya jioni, ambapo kwa mujibu wa mashuhuda gari ndogo ilihama katika upande wake na kuingia kwenye uvungu wa lori lililokuwa likitokea Tabora kuelekea Singida
Watu sita na wanne kati yao ni wa familia moja wamefariki dunia kwa ajali ya gari ndogo katika eneo la Inala mkoani Tabora, wakati wakitokea Dar es Salaam kuelekea wilaya ya Urambo Tabora katika mazishi ya Mama mzazi wa mmoja wa marehemu hao.