Akiwa katika mwendelezo wa ziara ya kikazi mkoani Tabora ya kukagua ujenzi wa madarasa andalio ya wanafunzi wa kidato cha kwanza kwa mwaka 2023 ,amesema kasi ujenzi wa madarasa hayo katika wilaya ya urambo haiendani na muda elekezi wa kukamilisha mradi huo
Ameagiza ujenzi huo kufanyika usiku na mchana ili kuendana na muda wa wanafunzi wa kidato cha kwanza wanaotarajiwa kuanza masomo yao hivi karibuni.