
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mhe. David Silinde

Kushoto ni Mbobezi wa masuala ya siasa Majid Mjengwa, na kulia ni Rais samia Suluhu Hassan

Mlinzi wa kulia wa Klabu ya Simba, Shomari Kapombe mara baada ya kusaini mkataba mpya wa kuendelea kusalia msimbazi.

Winga wa zamani wa Chelsea, Darmian Durf (kushoto) na Eden Hazard (kulia).

Bondia Tyson Fury (kushoto) na Anthony Joshua (kulia).

Mlinzi wa kulia wa Real Madrid, Dani Carvajal (kushoto) na nahodha wa timu hiyo, Sergio Ramos (kulia).

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima akiwa na Balozi wa China nchini Tanzania Mhe. Wang Ke katika ofisi za Wizara jijini Dodoma.

Katibu Mkuu, Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Dkt. John Jingu akikabidhi zawadi kwa ajili ya Wazee na watoto wanaolelewa katika makazi ya 'Maria Theresa House' Mburahati, Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam.