Picha ya pamoja msanii J Martins na Mike Ezuruonye
J. Martins aliyewahi kushirikishwa kwenye wimbo wa pamoja wa Mwana FA na AY ‘bila kukunja goti’ ame-share picha na video kwenye ukurasa wake wa instagram huku akielezea furaha yake kwa mashabiki juu ya heshima hiyo aliyoipata.


