Taarifa ya Kafulila kuondoka CHADEMA imetolewa leo kwa vyombo vya habari, na kueleza kwamba hana imani tena na vyama vya upinzani katika kupambana na ufisadi.
David Kafulila anafahamika zaidi kwa kuibua bungeni suala la Escrow, ambalo liliingiza serikali hasara ya mabilioni ya pesa.
Isome barua yake ya kujiuzulu hapa chini