Jumanne , 2nd Aug , 2022

Mwanamume mmoja mjini Kampala nchini uganda, amepoteza mguu wake mmoja baada ya kugongwa na Treni, wakati akitembea katikati ya reli.

Kijana aliyegongwa na Treni

Tukio hilo limetokea Julai 31, 2022, ambapo mashuhuda wamesema alikuwa akitembea katikati ya reli huku akiwa amevaa 'Headphones' ambazo zilipelekea asisikie hata honi ya Treni.