Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

"Atakaye kataa atupishe" - Rais Magufuli

Alhamisi , 19th Oct , 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli ameitaka Tume iliyofanya mazungumzo na kampuni ya uchimbaji ya madini Barrick Gold Mining, kuandaa mazungumzo maalumu ya  aina hiyo hiyo kwenye madini ya Tanzanite na Almasi ili nchi ipate

Rais Magufuli

faida na kama wamiliki hao wakikataa basi waondoke moja kwa moja.

Rais Magufuli amesema hayo leo wakati alipokuwa akipokea taarifa maalum ya mazungumzo kati ya timu ya wataalamu aliyoiunda na timu ya wataalamu kutoka kampuni ya Barrick Gold Mining kuhusu madini ya dhahabu.

 "Baada ya tume hii ya dhahabu nataka mfanye 'negotiation' ya namna hii kwenye almasi lakini pia mfanye negotiation kama hii kwenye Tanzanite, Mpangee mapema, muanze haraka. Hakuna kulala. Zege hailali. Lazima tufanye kwa spidi  ili Almasi nayo muingie kwenye majadiliano yake tuweze kupata faida. Atakaye kataa kuja kufanya majadiliano atupishe atuache moja kwa moja na madini yetu. Kamati hii imeonyesha njia.... Atakayekataa atupishe. Tutafanya hivyo kwenye madini yote na nyinyi mmeshaonyesha njia," Rais Magufuli .

Pamoja na hayo  Rais Magufuli amesema amekubaliana na  mapendekezo yaliyotolewa na Waziri Prof. Kabudi kuwa iendelee kufuatilia madai yote kwa ajili ya pande zote mbili.

Kwa upande mwingine Kampuni ya uchimbaji wa madini ya Barick nchini imekubali kulipa fidia ya dola milioni 300 ambazo sawa na bilioni 700 za Tanzania, pamoja na kuweka mgao sawa wa faida wa 50/50 na serikali, kufuatia mazungumzo ya ripoti ya makinikia yaliyofanyika kwa zaidi ya miezi mitatu,

HABARI ZAIDI

Bashiri Mohamed (35) Mwenye Koti Jeusi akiwa anafikishwa Mahakamani Ilemela, Jijini Mwanza

Aliyezini na binti yake apandishwa kizimbani

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea

Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

Wanahabari wasisitizwa kuzingatia maadili ya kazi

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC atangaza msako kuwaondoa walinzi wazee kazini