Baadhi ya watu wakiwa sintofahamu baada ya kupokea taarifa ya vifo vya watu wawili
Kwa mujibu wa Mtendaji wa Kata ya Kihimbiwa Antipasi Kinange ambapo amesema mvua hiyo imeanza kunyesha usiku wa kuamkia leo na watu ambapo watu walienda dukani kwa ajili ya kununua bidhaa ndipo maji yalipozidi na kusomba na maji.
Waliofariki katika mvua hiyo ni mwanamke aliyefahamika kwa jina la Habia Sanga huku mwanaume akifahamika kwa jina moja la Salum
Tazama mahojiano kamili hapo chini.


