QUICK PROFILES

agness apolinaly kilapi
+

Nimezaliwa mwaka 1994 wilaya ya KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi na mtoto wa 3 katika familia ya watoto 5 Nina kaka 3

Ninaishi MAKONGO na WAZAZI

Mtaani kwangu najulikana kwa AJIRA YA DANCER

Mimi nimesoma mpaka FORM 4

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) KUSUKA WATU NYWERE

ZAHRA OMARY SAID
+

Nimezaliwa mwaka 1996 wilaya ya ILALA Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 6 katika familia ya watoto 7 nina kaka 4 na dada 1

Ninaishi KAWE na MAMA

Mtaani kwangu najulikana kwa ZAHRA

Mimi nimesoma mpaka form 4

ZUWENA KARIM SAID
+

Nimezaliwa mwaka 1993 wilaya ya KIGOMA MJINI mkoa wa KIGOMA

Mimi ni mtoto wa KWANZA katika familia ya watoto WAWILI

Ninaishi KWANGU

Mtaani kwangu najulikana kwa BABY ZUU

Mimi nimesoma mpaka CHUO

Shughuli zangu za kila siku ( zaidi ya kucheza dansi) ni MWANAFUNZI WA CHUO

ZAINABU AESHI MAGOA
+

Nimezaliwa mwaka 1993 wilaya ya ILALA Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 5 nina kaka 3 na dada 1

Ninaishi KWANGU na MCHUMBA

Mtaani kwangu najulikana kwa KIZAI ZAI

Mimi nimesoma mpaka FORM 3

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) KUSUKA

SHAKIRA JUMA SAID
+

Nimezaliwa mwaka 1993 wilaya ya KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa MWISHO katika familia ya watoto WATATU nina dada WAWILI

Ninaishi MBAGALA na BABA na MAMA

Mtaani kwangu najulikana kwa UCHESHI NA UKARIMU

Mimi nimesoma mpaka FORM 4

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) KUIGIZA

JACQUELINE JAMES NTENGO
+

Nimezaliwa mwaka 1994 wilaya ya ILALA Mkoa DAR ES SALAAM

Mimi mi mtoto wa TATU katika familia ya watoto WANNE Nina kaka MMOJA na dada MMOJA

Ninaishi UKONGA na KWANGU

Mimi nimesoma mpaka KIDATO CHA NNE

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) KUSUKA