ZAHRA OMARY SAID
Jina La Utani:
ZEDY CUTE
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
DANCER

Nimezaliwa mwaka 1996 wilaya ya ILALA Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 6 katika familia ya watoto 7 nina kaka 4 na dada 1

Ninaishi KAWE na MAMA

Mtaani kwangu najulikana kwa ZAHRA

Mimi nimesoma mpaka form 4

Mafanikio katika Fani: 
NMafanikio yangu katika fani yangu yamenifanya najiamini pia vitu baadhi nimenunua wakati nipo kwenye fani yangu, pia imenifanya nifahamike sehemu mbalimbali kwa hapa Dar es salaam
Year: