JACQUELINE JAMES NTENGO
Jina La Utani:
BABY SWAGGERY
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
DANCER

Nimezaliwa mwaka 1994 wilaya ya ILALA Mkoa DAR ES SALAAM

Mimi mi mtoto wa TATU katika familia ya watoto WANNE Nina kaka MMOJA na dada MMOJA

Ninaishi UKONGA na KWANGU

Mimi nimesoma mpaka KIDATO CHA NNE

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) KUSUKA

Mafanikio katika Fani: 
Inanipa kipato, inafanya nijulikane, inaufanya mwili wangu uwe unachangamka wakati wote, inanifanya niwe na furaha, inanifanya nipendwe na watu
Year: