agness apolinaly kilapi
Jina La Utani:
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
DANCER

Nimezaliwa mwaka 1994 wilaya ya KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi na mtoto wa 3 katika familia ya watoto 5 Nina kaka 3

Ninaishi MAKONGO na WAZAZI

Mtaani kwangu najulikana kwa AJIRA YA DANCER

Mimi nimesoma mpaka FORM 4

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) KUSUKA WATU NYWERE

Mafanikio katika Fani: 
Mafanikio yangu katika dancer, imenifanya nijiulikane na baadhi ya wanamuziki wa Bongo Flava. Pia umenipa wepesi na wanamuziki kufanya kazi na mimi, kama Kushoot Video na kufanya nao kazi mikoani na hapahapa Dar es salaam
Year: