Aliyekuwa Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba Paul Makonda, akizungumza na waandishi wa habari kukanusha kumpiga Jaji Mstaafu kuhusika na tuhuma za kuratibu vurugu zilizotokea jana wakati wa mdahalo wa Katiba Mpya uliokuwa unafanyika katika ukumbi wa Ubungo Plaza.

3 Nov . 2014