Mshambuliaji Mtanzania Mbwana Samatta[jezi ya Bluu] akiwajibika katika klabu yake ya Genk ya Ubelgiji.
Mfungaji wa bao la pili la Serengeti Boys, Ibrahim Abdallah akishangilia goli hilo.
Mshambuliaji wa TP Mazembe Mtanzania Thomas Ulimwengu.
Beki kisiki wa kulia wa Yanga Juma Abdul.
Kocha Msaidizi wa (Serengeti Boys), Sebastian Nkoma na Mshauri wa Ufundi wa TFF kwa maendeleo ya timu za Vijana, Kim Poulsen wakisimamia mazoezi.
Baadhi ya wachezaji wa Yanga wakishangilia moja ya michezo yao.
Mabondia wakichuana katika moja ya mashindano ya mkoa wa Dar es Salaam.
Wachezaji wa mchezo wa RollBall wakifanya mazoezi.
Baadhi ya waendesha baiskeli wakichuana.
Mmoja wa wachezaji wa mpira wa kikapu akionyesha staili ya mtindo wa miruko[ dank]
Cosmas Cheka akivishwa mkanda wa WBF alioutwa hivi karibuni.
Baadhi ya wachezaji wakichuana katika moja ya mashindano ya vilabu.
Nahodha wa Stars Mbwana Samatta [kushoto] akiwa na kocha wake Boniface Mkwasa.