Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk. John Haule akiwa pamoja na wachezaji na viongozi wa timu ya Taifa Stars.
Kikosi cha timu ya soka ya Serengeti Boys.
Kocha Mkwasa akiwa na makocha wenzake na baadhi ya wachezaji wa Stars jijini Nairobi.
Mshambuliji Mbwana Samatta akiwajibika katika mchezo dhidi ya Sporting Charleroi.
Kikosi cha timu ya soka yaTaifa ya Tanzania [Taifa Stars].
Mwamuzi Israel Mujuni Nkongo wa Dar es Salaam [katikati] akiwa na mabosi wa TFF.
Beki wa kulia wa timu ya soka ya Yanga, Juma Abdul.
Baadhi ya wanamichezo wa shule za Sekondari wakipita kwa maandamano katika moja ya michuano ya UMISETA.
Baadhi ya wanaridha wakichuana katika moja ya mashindano ya taifa.
Mabondia Thomas Mashali [kulia] na Francis Miyeyusho wakiwa katika mazoezi ya pamoja.
Nahodha wa Simba Musa Hassan 'Mgosi' [kushoto] akijaribu kumtoka beki wa Mtibwa Sugar.
Timu za Taifa za Vijana za Tanzania na Marekani zikiwa kwenye Uwanja wa Tilak Maidan, Vasco, Goa India kabla ya kuanza kwa mchezo.
Afisa Michezo Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Adolf Halii akimvisha mkanda wa UBO Bondia Thomas Mashali kwa niaba ya mkuu wa mkoa.
Bondia Thomas [Mashali kushoto] akijifua na mkongwe Rashid Matumla.
Kocha Boniface Mkwasa akitoa maelekezo kwa wachezaji wa Taifa Stars.