
Kikosi cha taifa stars ambacho kitaivaa Msumbiji jumapili wiki hii.

Kikosi cha Taifa Stars kilichoitoa Zimbabwe kuelekea AFCON 2015 Morocco.

Rais Kikwete akiwa na Mbwana Samata (Kulia) na Thomas Ulimwengu (Kushoto) alipokuwa ziarani nchini DRC

Beki Taifa Stars Oscar Joshua akikabiliana na mchezaji wa Malawi katika mechi ya kirafiki jijini Mbeya

Baadhi ya Mashabiki walioingia uwanjani kutazama mechi kati ya Taifa Stars na Zimbabwe

Baadhi ya wachezaji wa Taifa Stars muda mfupi kabla ya kuanza kwa pambano dhidi ya Zimbabwe

Wachezaji Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu wakifanya mazungumzo na shabiki mmoja wa soka baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa malimu nyerere DSM, Mwezi Machi mwaka huu.

Mbwana Samata (Kushoto) na Thomas Ulimwengu (Kulia) wakishangilia bao katika moja ya michezo ya Taifa Stars

Kikosi cha timu ya Taifa ya Malawi "The Flames"
Nahodha wa Timu ya taifa ya Burundi ambaye pia anaichezea klabu ya Yanga ya DSM, Didier kavumbagu