Dimpoz apangua maswali kibao Kikaangoni
Msanii wa muziki ambaye nyota yake inang'ara ndani na nje ya mipaka ya Bongo, Ommy Dimpoz leo hii ametumbukia Kikaangoni Live kupitia kipengele cha ukurasa wetu wa facebook, ambapo wapenzi wa muziki na wapenda burudani wameweza kuchat naye live.