Kiongozi wa mbio za mwenge Racheal kassanda akikabidhi mwenge kwa makamu wa Rais Dkt Bilal wakati wa uzinduzi wa mbio hizo mwezi April mwaka huu mjini Bukoba
Mbio za mwenge wa uhuru nchini zimekuwa na manufaa mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuhamasisha mapambano dhidi ya ugonjwa wa malaria nchini