Nyota Ndogo aguswa na matatizo ya jamii
Nyota Ndogo, staa wa muziki kutoka nchini Kenya ameamua kutumia vizuri nafasi yake kama msanii kwa kutoa ngoma mpya ambayo inazungumzia uhalisia wa matatizo makubwa yanayoikumba jamii kama matumizi mabaya ya pombe, dawa za kulevya na ngono.

