Wachezaji Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu wakifanya mazungumzo na shabiki mmoja wa soka baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa malimu nyerere DSM, Mwezi Machi mwaka huu.
Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu wametua Dar es Salaam leo (Mei 17 mwaka huu) mchana, kwa ajili ya michuano ya Afrika dhidi ya Zimbabwe (Mighty Warriors).