Maabara Tatu Tanzania zimepata hati ya Ubora
Maabara kubwa tatu nchini Tanzania leo zimekabidhiwa hati ya ubora na nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Africa SADC pamoja na taasisi mbalimbali za kimataifa ambapo maabara hizo sasa zitakuwa zikitoa huduma kwa kiwango cha kimataifa.

