Sokoine Marathon Kutimka. Mary Naali, Mwanariadha wa Tanzania Wanariadha nyota kutoka maeneo mbalimbali nchini kesho wanatarajiwa kuchuana vikali katika mbio za kilomita 10, zinazofahamika kwa jina la Sokoine Marathoni zinafanyika wilayani monduli mkoani Arusha. Read more about Sokoine Marathon Kutimka.