Magufuli, Dkt Bilal na Kova wanusurika Kifo
Makamu wa Rais wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, Waziri wa Ujenzi Dk. John Magufuli pamoja na RPC Suleman Kova wamenusurika katika ajali baada helkopta waliyokuwa wamepanda kupata hitilafu wakati ikiruka.