Rais Kikwete aongoza Kumbukumbu ya Sokoine

Kaburi la aliyekuwa Waziri Mkuu na Mbunge wa Monduli Hayati Edward Moringe Sokoine.

Rais  Dkt Jakaya Mrisho  Kikwete  ameongoza  jopo  la  viongozi  wakiwemo  marais  wastaafu   katika  maadhimisho  ya  kumbukumbu  ya  miaka  30 kifo  cha aliyekuwa  waziri  mkuu  wa  Tanzania  hayati  Edward  Moringe  Sokoine.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS