Savio yaambulia mshindi wa Tatu ligi ya NBL

Wachezaji wa Savio.

Timu ya Savio imeibuka mshindi wa tatu katika ligi ya klabu bingwa ya taifa ya kikapu NBL baada ya kuifunga timu ya Bandari kutoka Tanga kwa vikapu 59-49, michuano iliyopigwa katika uwanja wa ndani wa taifa jijini Dar es salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS