Vituo vya BVR Mara vyafungwa kwa ubovu wa mashine
Zoezi la uboreshaji wa daftari la wapiga kura kwa kutumia mfumo BVR katika maeneo mengi ya mkoa wa Mara limeingia dosari baada ya mashine zinazotumika kushindwa kufanya kazi na kupelekea vituo vingi kufungwa.
