BVR Sengerema yaendelea kwa kusuasua

Zoezi la uandikishaji wapiga kura kwa kutumia mfumo wa BVR katika vituo zaidi ya 400 vya jimbo la Sengerema mkoani Mwanza lililoanza Juni 9 mwaka huu limeendelea kwa kusuasua kutokana na kasi ndogo ya uandikishaji.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS