Belle 9: Video Bongo zinafanana sana Belle 9 Staa wa muziki Belle 9, akiwa sasa katika maandalizi ya kufanya video ya ngoma ya 'Shauri Zao', amesema kuwa, ameamua kutumia muda mrefu kuufanya utafiti wa maeneo poa ya kufanyia kazi yake hiyo Read more about Belle 9: Video Bongo zinafanana sana