Kinana kumaliza mgogoro wa machimbo Nyarugusu
Chama cha Mapinduzi CCM kimeahidi kutatua mgogoro baina ya wachimbaji wadogo wadogo wa kata ya Nyarugusu mkoani Geita na shirika la madini la taifa STAMICO na kampuni tanzu ya kutoka nchini Marekani ya Tanzam 2000,
