Kamati ya utendaji TFF yamtimua kocha Nooij
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania TFF imemfuta kazi kocha wa Taifa Stars, Mholanzi, Mart Nooij na habari zinasema, Kocha Msaidizi wa Yanga SC, Charles Boniface Mkwasa atashika timu kwa muda, akisaidiwa na Suleiman Matola wa Simba SC.

