Watanzania watakiwa kutunza shahada za Kura

Waziri mkuu wa Zamani Mh. Edward Lowassa.

Ili kuibuka na ushindi mkubwa na kuweza kumchagua kiongozi Bora kutoka ndani ya chama cha mapinduzi watanzania wametakiwa kuzitunza shahada za kupigia kura ifikapo octoba 25 mwaka huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS