Sugu amfikisha Faiza kortini Mheshimiwa Joseph Mbilinyi akiwa Bungeni Joseph Mbilinyi ' Sugu' amemfikisha kortini aliyekuwa mkewe, Faiza Ally, akitaka apewe mtoto wao, Sasha mwenye umri wa miaka miwili, amlee maana mama yake si muadilifu. Read more about Sugu amfikisha Faiza kortini