Polisi Kagera yakamata wahamiaji haramu watano Wahamiaji haramu waliokamatwa Kagera Jeshi la polisi mkoani kagera limefanikiwa kukamata raia watano wa kigeni kutokea nchi za Elitria na Ethiopia walioingia nchini kwa njia haramu. Read more about Polisi Kagera yakamata wahamiaji haramu watano