Mwanamke mwingine ajitokeza kuwania Urais Ritha Ngowi ambaye ni Ofisa Maendeleo ya jamii Mwanamke mwingine amejitokeza kuchukua fomu ya kuwania urais kupitia CCM ambapo amekuwa ni mwanamke wa tano kuchukua fomu katika kuwania kinyang’anyiro hicho. Read more about Mwanamke mwingine ajitokeza kuwania Urais